Posts

HABARI PICHA

Image
Picha mnato katika hafla yakukabidhi form ya ubunge BCPS

UCHAGUZI CBE

Image
Katikati ni mgombea ubunge Mohamed mohamed kupitia bcps akisindikizwa kurudisha form na campaign manager wake deograsias temba na kulia kwake ni member wa COBBESO katika hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa COBBESO katika college of business education Dodoma campus

AJALI YAUA WATU 45 IRINGA

Image
Katika hali yakusikitisha Leo tarehe 24 April 2015 katika maeneo ya mafinga kulitokea ajali iliyoua watu takribani 45

MATOKEO KWA KIPINDI CHA KWANZA KATI YA LIVER vs MAN CITY

Image
Manchester city wanafungwa gori la kwanza na Liverpool mfungaji Daniel Sturbridge dakika 6,dakika ya 7livepool wanapata corner.Dakika ya 12 Daniel sturridge anakosa gori mpira unaokolewa na Clichy,yahya toure anakosa gori katika dakika ya 15 Suarez anamchezea foul Pablo zabbareta,18 toure anapaisha Mpira kwenye lango la liver,20sturridge anakosa tens gori rahisi kabisa.Toure anachechemea aanajiandaa kutoka njee,nafasi ya toure imechukuliea na Javier galcia,anamchezea rafu hapa Johnson galcia anapewa kadi ya njano,man city wanapata corner na inaokolewa.David Silva anamchezea rafu suarez ,Liverpool wanapata corner dakika 25  Liverpool wanapata bao la pili likifungwa naDaniel skerty katika dakika ya 26 magori ni 2-0 Liverpool wanaongoza Suarez anakosa gori hapa name no Mona katika dakika ya 29

UKAGUZI WA GWARIDE

Image
Siku ya kufunga mafunzo ya jeshi la polis I mwezi wa saba mkoani kilimanjo mjini moshi gwaride likiongozwa na mrakimu was jeshi la polisi au ssp mushi akiwa name waziri wa mambo ya ndani Emmanuel nchimbi

MIUNDOMBINU DODOMA

Leo tarehe 11 mjini Dodoma hali ya hewa imebadilika sana hali ya mvua imesababisha kua na ghadhabu kubwa sana kwa wakazi wa mjini hapa hadi kusabisha watu kushindwa kwenda makazini,mihangaiko,hadi imepelekea kuharibika kwa miundombinu ya Barbara mfano Barbara ya sokoni majengo.hali ambayo imepelekea with kushindwa kupita kwa miguu ili kupata mahitaji yao muhimu.wakizungumzia hali hyo wakazi was mjini hapa makao makuu ya nchi wanasema wamechoshwa name Barbara hii ambayo imekua kero hasa kwa watembeaji wamiguu