MATOKEO KWA KIPINDI CHA KWANZA KATI YA LIVER vs MAN CITY
Manchester city wanafungwa gori la kwanza na Liverpool mfungaji Daniel Sturbridge dakika 6,dakika ya 7livepool wanapata corner.Dakika ya 12 Daniel sturridge anakosa gori mpira unaokolewa na Clichy,yahya toure anakosa gori katika dakika ya 15 Suarez anamchezea foul Pablo zabbareta,18 toure anapaisha Mpira kwenye lango la liver,20sturridge anakosa tens gori rahisi kabisa.Toure anachechemea aanajiandaa kutoka njee,nafasi ya toure imechukuliea na Javier galcia,anamchezea rafu hapa Johnson galcia anapewa kadi ya njano,man city wanapata corner na inaokolewa.David Silva anamchezea rafu suarez ,Liverpool wanapata corner dakika 25 Liverpool wanapata bao la pili likifungwa naDaniel skerty katika dakika ya 26 magori ni 2-0 Liverpool wanaongoza Suarez anakosa gori hapa name no Mona katika dakika ya 29

Comments
Post a Comment