MIUNDOMBINU DODOMA
Leo tarehe 11 mjini Dodoma hali ya hewa imebadilika sana hali ya mvua imesababisha kua na ghadhabu kubwa sana kwa wakazi wa mjini hapa hadi kusabisha watu kushindwa kwenda makazini,mihangaiko,hadi imepelekea kuharibika kwa miundombinu ya Barbara mfano Barbara ya sokoni majengo.hali ambayo imepelekea with kushindwa kupita kwa miguu ili kupata mahitaji yao muhimu.wakizungumzia hali hyo wakazi was mjini hapa makao makuu ya nchi wanasema wamechoshwa name Barbara hii ambayo imekua kero hasa kwa watembeaji wamiguu
Comments
Post a Comment