UCHAGUZI CBE
Katikati ni mgombea ubungeMohamed mohamed kupitia bcps akisindikizwa kurudisha form na campaign manager wake deograsias temba na kulia kwake ni member wa COBBESO katika hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa COBBESO katika college of business education Dodoma campus
Comments
Post a Comment